Chagua mpango wa Google One unaokufaa

Akaunti zote za Google zinajumuisha nafasi ya hifadhi ya GB 15. Katisha wakati wowote. Kwa kujisajili, unakubali sheria na masharti ya Google One. Gemini Advanced na Gemini kwenye Gmail, Hati na zaidi zinapatikana tu kwa walio na umri wa miaka 18 au zaidi. Gemini kwenye Gmail, Hati na huduma zaidi inapatikana katika lugha mahususi. Angalia jinsi Google inavyoshughulikia data.
GB 15
  • GB 15 za nafasi ya hifadhi
Unaopendekezwa
Ya msingi (GB 100)
US$ 1.99 kwa mwezi
Tumia hifadhi pamoja na hadi watu wengine 5
Ya juu (TB 2)
US$ 9.99 kwa mwezi
Tumia hifadhi pamoja na hadi watu wengine 5
  • Kurejeshewa 10% katika Google Store
AI Premium (TB 2)
US$ 19.99 kwa mwezi
Tumia hifadhi pamoja na hadi watu wengine 5
Pata Gemini Advanced iliyo na mifumo yetu ya AI yenye uwezo mkubwa zaidi

Dhibiti mpango wako kwa kutumia programu ya Google One

Angalia nafasi yako ya hifadhi, chunguza vipengele na utumie manufaa ya uanachama, yote katika sehemu moja.